Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
Mm ni mtanzania nisiye na makuu naitaji mwenza kma maandiko yavyosema mwanamke atamuacha mamaye na babaye na kuambatana na mumewe wawe kitu kimoja cbagui dini wala kabira umri kuanzia miaka 20-29 elimu kuanzia kidato cha nne
 
kama unasahau hadi jinsia yako, utaiwezaje ndoa?
 
Wale wale walioshindwa familiya wanataka kuongoza nchi
 
Mimi sijakuelewa sijui wenzangu humu.kwanza jinsia yako haijulikani pili unayemtaka aweje.umenukuu maandiko tu hapa sijui umesahau kuna jukwaa la dini hapo jirani?
 
7335758372017891113
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom