Wakuu,
Natafuta Mchumba mwenye umri wamiaka 18 – 24, elimu angalau kidato cha 4 na asiwe mnene wala mwembamba sana.Mimi ni kijana wa miaka 27, nina elimu ya Chuo na nampenda sana Mungu. Aliyetayari awasiliane nami kupitia sjumaa26@yahoo.comau kupitia "private messages".
Karibuni sana!