Ni Sahihi Kusema "MJANE" inatumika kwa manaume na mwanamke au "MFALUKU" yote yana maana moja, "MGANE" ni upotoshi si Kiswahili Sanifu, Pitia Kamusi Ya Kiswahili
Tafuta kitabu cha 'MWENZI WA MAISHA' efatha bookshop,DSM, kimahama arusha au bible society,Dom.Ni kitabu kizuri kitakufaa sana has a kuhusu hitaji lako.