Natafuta mchumba


Mkuu kwanza nikupe pole kwa kuwa mpweke, ila njia unayotumia kutafuta au kuondoa upweke hapa ndipo shida inapoanzia,,

Huu usumbufu unaousema ni rasharasha sasa tafuta humu watakuja wengi mpaka utashindwa kuchagua, ila sasa mgogoro utakapoanza kuishi nao, kunasiku utaleta mada hapa ya nifanyeje nmuache huyu mke??

Sabab ndogo nnayo kupa utamwamini?? Je unajua amekutana na wa2 wangapi?? Unafaham kwa nin kakupm? Je atakuwa na mlengo kama wako??

N vyema kuwanna tahadhari kubwa, hata hvyo maelezo yako n kivutio tosha kwa akina dada maana wanapenda kutengenezewa ili wafaidi kwa urahisi. Kila raheri mkuu
 

ushaur murua sana. Umeongea kitu uzima na ki gt kweli
 
Haaaaa inawezekana bana kwan lazima uwe na nyumba ndo uoe? ndomana siku hizi wanaangalia km huna kiwanja unio alafu baadae wanasumbua watu jaman upwekeeee si uligoma mwenyewe
Hata mimi nimejiuliza.........pesa katafuta saa ngapi........maisha kala saa ngapi......
 
nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri mkuu.. au na wewe utakua early 20's ndo mana povu linakutoka. 23 kwa mwanaume bado ni mtoto kiumri na kiakili

Endelea kuwa na wasiwasi...mara zote mshindwa hoja hukimbilia kwenye matusi.
 
ainisha tusi kwenye statement yangu

Unatambua matumizi ya neno ainisha?

By the way ulikuwa na ulazima gani wa kutumia maneno kama "kutokwa povu" n.k...

Je kuna mahali popote nilipokukejeli katika kujibu post yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…