Naitwa Geofre wa Mbeya nna miaka 23 natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo,awe maji ya kunde,mnene kiasi,mrefu kiasi,awe na mapenzi ya kweli pia awe anajali upendo wake.kuhusu mimi nna elimu ya kidato cha nne,ni mwemba kiasi,mrefu kiasi,ngozi maji ya kunde kazi yangu ni mtu wa marketing katika kampuni ya mtandao wa mawasiliano wa MILCOM LTD (MIC) ujulikanao kama Tigo Tanzania.Kwa atakaye jisikia anitafute kwa namba 0655753472,au 0656043636.
miaka 23 unataka kuoa????
miaka 23 unataka kuoa????
umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?
(tafadhali unapojibu swali langu zingatia na life expetancy ya bongo)
umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?
(tafadhali unapojibu swali langu zingatia na life expetancy ya bongo)
umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?
(tafadhali unapojibu swali langu zingatia na life expetancy ya bongo)
umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?
(tafadhali unapojibu swali langu zingatia na life expetancy ya bongo)
Wadau kwangu mimi uchumi si tatizo isipokuwa tatizo linalo fanya nitafute mchumba na kuoa nikuhusu usimamizi wa mali zangu nyumbani pamoja na baadhi ya vitega uchumi imekuwa tatizo maana nimeajiri watu wananiibia kwasababu niko bize na kazi muda mwingi ndo maana nika amua kufanya maamuzi kama haya maana maisha ya upweke nayo ni gumzo nyumba kubwa unaishi peke yako ni shida but nashukuruni kwa maoni wana Jf wenzangu kama nakosea mnambie wakubwa zangu but hayo ndo maamuzi yangu na sababu ndo kama nvo ielezea maana coment nyingi nimesoma zinauliza miaka 23 unataka kuoa? ila tuko pamoja wakubwa mi kuhusu utafutaji nsha wekeza so kwangu si shida sana.Siku njema wadau.
Hata mimi nimejiuliza.........pesa katafuta saa ngapi........maisha kala saa ngapi......