KING_ETHAN
Member
- Oct 4, 2014
- 21
- 0
Habari zenu wadau,
Mimi ni Mvulana wa miaka 28, Natafuta Mchumba wa kufanya nae maisha, awe na umri kuanzia 20 - 26, kabila lolote kasolo Mzalamo, Awe mkristo mwenye kumuogopa Mungu, hata asipokuwa na kazi sawa, ilimradi awe mkweli na aliyeumizwa na kuelewa maumivu ya mapenzi.
kwa aliyesiriaz ani PM. niko Kigoma kwa sasa ila naishi Dar