Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

umri huo bado wako vyuoni wanasoma! pole.
 
Mimi ni male miaka 25-30 natafuata mchumba wa kike (mashoga mkae mbali),
awe na miaka kuanzia 18-26, elimu kuanzia kidato cha nne na zaidi, kabila lolote, dini ni lazima awe mkristo mwenye hofu ya MUNGU.
nipo serious kabisa,msichana alie tayari ani PM

Hehehehehe, mihemuko ya pu.nye.to. imekusumbua unatafuta mchumba saa tano za usiku.
pole sana
 
nilishasema mashoga mkae mbali au hujui kusoma?
mim sipumulii watu visogoni tafuta wengine..
 
👙ningepata mimi kama rahisi nimeweka matangazo mpaka Leo sijapata
 
Mimi ni male miaka 25-30 natafuata mchumba wa kike (mashoga mkae mbali),
awe na miaka kuanzia 18-26, elimu kuanzia kidato cha nne na zaidi, kabila lolote, dini ni lazima awe mkristo mwenye hofu ya MUNGU.
nipo serious kabisa,msichana alie tayari ani PM

utapata tu usijari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom