jaman wana jf mm ni kijana wa miaka 24 n mwanafunz wa chuo flan mbeya nahitaj sana kuwa na mchumba lkn nimekuwa muoga sana kutongoza nahisi kama ntaonekana nadanganya[/QUOTE
Hongera kijana mdogo kam wewe unashindwa kumtongoza hata binti anayekuosha nywele ukienda kinyoa saluni maana hao ni pesa yako wala huitaji kuanza ahadi feki za kuoa