hahahaaha homeboy ukiwa na nia Sweeden ni kama Zero Pub....😛lane:
anapunguza idadi ya watu wa iterview.
Dah hommie mm napata shida kidogo naona mtu mwenyewe kama hayupo serious :llama:
Hahahaha kweli umeotea naona hataki bughudha mingi.
MIMI NI DADA WA MIAKA 29,MKRISTO,SINGLE,MPOLE NA MREMBO,SIJAWAHI KUOLEWA,SINA MTOTO.
NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.
NIMEAMUA KUCHUKUA UAMUZI HUU WA KUANDIKA KTK SITE HII MAANA MAZINGIRA NINAYOISHI SIKUTANI NA WEUSI WENZANGU NA SINA FEELINGS KABISA KWA WAZUNGU(IM NOT A RACIST THOUGH).
NITAFURAHI KAMA ATANIANDIKIA KIJANA ALIYE SERIOUS MWENYE SIFA HIZI;
MKRISTO,MWENYE MAKARATASI(MIMI NINAYO PIA),MWENYE KAZI,MPENDA MAENDELEO,ASIYEENDEKEZA STAREHE ZISIZO NA MPANGO,ANAYEHITAJI MCHUMBA KAMA MIMI,MUAMINIFU,SINGLE,MWENYE KUPENDA MAISHA YA UTULIVU.
EMAIL YANGU NI= vai00@hotmail.com
GOD BLESS YOU ALL.
aaaaaaaaaaagh kwani wewe uko serius Fidel80?
kwa hisani ya watu wa sweden, ubarikiwe sana. tusemeni amen
Dah! Nimeshajikomiti somewhere, otherwise ningerusha ndoano yangu kwa mdada, pengine angenikaribisha Sweden kwenda kuosha macho kidogo, maana vumbi la Bongo nalo wakati mwingine linachosha!
Masaki umehamia sweden wewe? maana hicho ni kigezo
bht mwenzio hapo ndio pangekuwa pa kutokea, ushaambia dada tayari ana makataratasi kwa hiyo ni rahisi tu kusepa toka Bongo kwenye Uswidi!....!!!
Hivi Sweden nako wana Mzalendo Pub yao eeeeh!!!?
Nimefurahi kukuona Cheusimangala hope kila kitu kimeenda kama kilivyopangwa .
Karibu, hata mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba ila sina sifa hizo kwenye red mimi ni MtanzaniaNINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.