kiswahili kigumu ..................kakusudia roho haimpigi akiona wazungu kwa hiyo bora tu ajichukulie mbongo mwenziwe!
btw i personally believe kila mtu yuko racist somehow (which some call favouratism) ....tunatofautiana the degree tu.
NIMEAMUA KUCHUKUA UAMUZI HUU WA KUANDIKA KTK SITE HII MAANA MAZINGIRA NINAYOISHI SIKUTANI NA WEUSI WENZANGU NA SINA FEELINGS KABISA KWA WAZUNGU(IM NOT A RACIST THOUGH).
.
pole sana katavi kwa kulikosa hilo goma ulivyoongea na hiyo avatar yako unatia hurumaMmmmh haya kila la heri dada Vai! Mimi sina vigezo vyote hivyo ulivyovitaja.
mungu akutangulie mpendwa,usikatishwe moyo na wachache au wengi waliozoea kuwakosoa wenzao kila wanapotangaza kutafuta wachumba hapa.usife moyo tangaza na ktk mitandao mengine utapata tu ila kuwa makini sana maana mtandaoni kuna wema na wabaya pia.kama ulivyoshauriwa panua wigo wa utafutaji wako.
muombe mungu atakupatie tu haja ya moyo wako usife moyo maana hivi nakwambia juzi nimetoka ktk harusi ya shemeji yangu ambaye amemuoa mchumba wake waliyekutaniana mtandaoni na wanapendana na kuheshimiana kuliko hata wale waliokutaniana sunday school.
MIMI NI DADA WA MIAKA 29,MKRISTO,SINGLE,MPOLE NA MREMBO,SIJAWAHI KUOLEWA,SINA MTOTO.
NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.
hicho kigezo kimemgalagaza kila mtu lol...Ayaaaaaaaaaaaah hii bahati nimesha ikosa kwa kigezo cha Sweden
pole sanaAyaaaaaaaaaaaah hii bahati nimesha ikosa kwa kigezo cha Sweden
pole sana
documentsMakaratasi ni kitu gani?:A S-heart-2:
hahahaaha homeboy ukiwa na nia Sweeden ni kama Zero Pub....😛lane:Hahahaha huyo katoa sharti gumu sana mweh!
traits of mammalsOf course, kuna ki part cha ubongo bado kipo na traits za reptilia kama alivyosema Obama
well, the rest don'tSasa kichekesho ... Well, some say
anapunguza idadi ya watu wa iterview.Hahahaha huyo katoa sharti gumu sana mweh!