Natafuta mchumba

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Nina umri wa miaka 28,mzaliwa wa Kilimanjaro ni mrembo tuu na mfufu kiasi rangi chocolate natafuta mwenza kabila lolote ila si mchaga,Mweupe wa rangi awe msafi na ajue kuvaa,awe ana kazi na anaishi kwake elimu degree na kuendelea umri 30 na kuendelea awe tayari kupima ukimwi,aliyeko tayari PM na picha.Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
i don't qualify...na sio ati niko na ukimwi! najua mlikuwa mshaenda hapo...nkt
 
Mi ninadegree na nmeajiliwa nafanya kazi, naishi dar mabibo nina miaka 30,nitumie namba tuwasiliane na kama unatumia whatsp tutachekiana fresh
 
wewe ni mchaga?mamaaa mbona sioni waleti yangu?ina milion moja,ndo shida ya wachaga
 
Mungu akuepushe na ahadi kem kem za matapeli!
 
Duuuh!hongera mdada kwa moyo wa ujasiri,kutangaza nia c mchezo,mungu akubariki upate umtakae!
 
Mungu akujalie sawasawa na hitaji la moyo wako
 
Jitahid kuwa makini sana na umwombe Mungu kuna watu wenye PhD za uongo hku
 
ICHANA sawa asante kwa ushauri nitazingatia,
 
Last edited by a moderator:
Passion Lady wakati mwingine ni vyema nia ikawa wazi ili kuwapa fursa walengwa.
 
Last edited by a moderator:
Kigezo cha kazi kinatatiza kwamba iweje ya binafsi au serikali ila vingine nimetimia so u r welcome if u real serious.
 
Daaaaahhhhhhh! Mshahara shilingi ngapi? Mana hivo vigezoooo.

Kila la kheri Bidada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…