Pate_15
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 156
- 48
Serious,
Mimi ni mwanaume (mvulana) wa miaka 26,,Jina langu ni hili nalolitumia humu JF.
Ni mhitimu wa college kwa sasa nafanya shughuli za ufundi na biashara,nina mtoto mmoja wa kiume ambaye anaishi na bibiake,nilitengana na mama wa mtoto kwa sababu ya mabadiliko yake ya tabia hivo tukashindwana.
Mimi naishi Dar es salaam,nimepanga mean naishi mwenyewe na ni mkristo...kwasasa nahitaji niisha na mwanangu ila siwezi bila msaidizi..hivyo natafuta mchumba (mwanamke) ambaye baadae awe mke wangu wa ndoa..
sichagui kabila muhimu ni kujitambua na tabia njema..
aliye tayar aniPM ili nimpe contact zingine.
ahsante