permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,428
- 15,212
aafu umesema uzuri kwani uzuri wa mwanamke upo wap?unaweza nifwafwanulia pulizi?
haya mkuu kila la heri.Yaan hatua moja itajenga nyingine, yaan rafiki na mwishoe mchumba, uzuri niliimanisha aspects zote za hilo neno "uzuri" the word beauty was not used in any technical sense, just the plain and natural sense of it
Ninae mmoja ananisumbua kichwa, niPM nikupatie nambaNatafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina mshahara mzuri na posho. Waswahili , waarabu na wazungu kazi kwenu, pm zote zitajibiwa
unaonekana we ni ki andujee afu cheusiiiii
ha!ha!ha!haaaa mwe.unaonekana we ni ki andujee afu cheusiiiii