mimi ni kijana wa miaka 30 nafanya kazi katika kampuni ya paraguya foundation iliyopo dareslaam natafuta mchumba
mimi ni kijana wa miaka 30 nafanya kazi katika kampuni ya paraguya foundation iliyopo dareslaam natafuta mchumba
Duh nimekuja fasta tena kitu hata hakina masharti ngoja nikamate fursa
ha!ha!haa shemeji bwana.ngoja waje... mostly wamelala!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nashukuru kwa maoni yenu but vigezo uyo mwanamke awe mweusi,na mwembamba