Natafuta msichana wa kumuoa umri kuanzia miaka 20-22 elimu form 4 awe anaupenda na anaufahamu mkoa wa kilimanjaro when you want to marry me please tuwasiliane email amedeusmushi88@gmail.com
Mbona maelezo ni mafupi sana, unataka mtu wa kidato cha nne, wewe kidato gani? Wewe jinsia yako ni ipi? Funguka zaidi ueleweke, wako wengi sana hapa jamvini.
Mbona maelezo ni mafupi sana, unataka mtu wa kidato cha nne, wewe kidato gani? Wewe jinsia yako ni ipi? Funguka zaidi ueleweke, wako wengi sana hapa jamvini.
nimesema hiviiiii, mie hapa napita tuu, cna vigezo vya mchumba unayemtaka na pili nimekwambia kila la kheri nikimanisha nakuombea ufanikiwe..............lol