Aisee vidume vimeisha, yani mdada keshaweka bango halafu pia mnataka amipm, kesho yeye atoe offer ya outing! Nilidhani ni udomo zege but this is more than that!
Humu ndani bana, thread ya mwanamke kutafuta barafu wa moyo inachangamkiwa sana. Za vidume nyingi zapinduka.
Inamaana vidume ndo desperate au kutaka kutumia na kusepa?
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
Acheni kuzingua watu hapa mnatafuta wachumba hao mlio nao hawawatoshi
au unakuja kuona ni wangapi watakutumia sms ujue jinsi gani midume ilivyo na uchu.
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea