Natafuta mchumba

Kwa ombaomba hi hata kabla hujampata, sijui Kama Kuna kijana atajitoa kuhanga.
Wewe sema tukuchangie Nini siyo kujificha eti zawadi kabla hata sura yako haijulikani.
 
Kwa ombaomba hi hata kabla hujampata, sijui Kama Kuna kijana atajitoa kuhanga.
Wewe sema tukuchangie Nini siyo kujificha eti zawadi kabla hata sura yako haijulikani.
Siyo lazima unipe. Lengo langu likikuwa juu la chini n chombezo tu. So ata nisipopata siwez kununa🙏
 
Mh! andiko lako si serious sana japo kitu unachokiomba ni kitu serious!..
Mi naona umetumia mhemko kuomba kitu cha maisha!, mume ni wakuja kuishi nae ndani na nje lazima muwe wote serious!..
siku yako yakuzaliwa isikufanye tu ndo utafute huyo mume!, ila yote kwa yote nikutakie heri ya kuzaliwa maisha mema na mafanikio yenye baraka bila kusahau watoto wazuri wenye afya ya akili na mwili.
 
Kwa kuwa n tangazo la kusaka nafasi et😁
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…