D dmhina New Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Aug 25, 2011 #1 Natafuta mchumba awe mweupe mrefu kidogo kwa sababu mimi mfupi mpole awe na upendo sana msafi na mpiganaji. dmhina@hotmail.com kama uko tayari nicheki kwenye adress iyo apo juu.
Natafuta mchumba awe mweupe mrefu kidogo kwa sababu mimi mfupi mpole awe na upendo sana msafi na mpiganaji. dmhina@hotmail.com kama uko tayari nicheki kwenye adress iyo apo juu.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Aug 25, 2011 #2 ushakosa ka we ni mfupi..................tafuta siredi humu inazungumzia wanaumw warefu huh akina dada humu wakadata,jinsia yako 1
ushakosa ka we ni mfupi..................tafuta siredi humu inazungumzia wanaumw warefu huh akina dada humu wakadata,jinsia yako 1
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Aug 25, 2011 #4 mikatabafeki said: ushakosa ka we ni mfupi..................tafuta siredi humu inazungumzia wanaumw warefu huh akina dada humu wakadata,jinsia yako 1 Click to expand... acha kumuatisha moyo, hata wanawake wanadata na wanaume wafupi muda mwingine. akina Rashid kawawa, Benja mkapa nk, hao majamaa ni wafupi lakini hawakuwa na wake? Au waliwaoa wanaume?
mikatabafeki said: ushakosa ka we ni mfupi..................tafuta siredi humu inazungumzia wanaumw warefu huh akina dada humu wakadata,jinsia yako 1 Click to expand... acha kumuatisha moyo, hata wanawake wanadata na wanaume wafupi muda mwingine. akina Rashid kawawa, Benja mkapa nk, hao majamaa ni wafupi lakini hawakuwa na wake? Au waliwaoa wanaume?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Sep 1, 2011 #5 First Born said: acha kumuatisha moyo, hata wanawake wanadata na wanaume wafupi muda mwingine. akina Rashid kawawa, Benja mkapa nk, hao majamaa ni wafupi lakini hawakuwa na wake? Au waliwaoa wanaume? Click to expand... huh.................aaah wale wakifata noti tu mkuu hakuna mapenzi pale
First Born said: acha kumuatisha moyo, hata wanawake wanadata na wanaume wafupi muda mwingine. akina Rashid kawawa, Benja mkapa nk, hao majamaa ni wafupi lakini hawakuwa na wake? Au waliwaoa wanaume? Click to expand... huh.................aaah wale wakifata noti tu mkuu hakuna mapenzi pale
M Mwagwadu Member Joined Aug 6, 2013 Posts 19 Reaction score 0 Aug 7, 2013 #6 mhh!!! humu majanga wakuda kibao du cjuikama tuafika