Ndio ujue nakupenda, sema tu naogopa kukuambia...kweli ile picha imekukwaza babu hii mara ya pili unaongea sio mm yule alijiskia tu kuongea sasa na yule wa jana alieibuka na kunianzishia thread na kuweka mapicha yake naona hujamuona sio mm kabisa
nitafurahi babu deal nao tuNdio ujue nakupenda, sema tu naogopa kukuambia...
Usijali, ntadeal nao hao wanaokuchafua.
Hcho kigezo cha ukwel ndio kimenishnda maana nikianza kukutia sound tu nadanganyaMm ni BINTI wa miaka 25 elimu yangu ni form four,natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume.sichagui dini wala kabila,ila awe mkweli
Ww unataka.kweli.gani tenaJe wewe mwenyewe mkweli?
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.
Hata mimi nakupenda pia. Sema tu ile picha kule jukwaa la wakubwa ilinikwaza.
Hata mimi nakupenda pia. Sema tu ile picha kule jukwaa la wakubwa ilinikwaza.
Hata mimi nakupenda pia. Sema tu ile picha kule jukwaa la wakubwa ilinikwaza.
Omba kibali kwa Mods... fasta unaingizwa at your own riskmkuu hivi jukwaa la wakubwa linaingilikaje,
please nipe hints namna ya kufka huko
Omba kibali kwa Mods... fasta unaingizwa at your own risk
Njoo pm kama kweli .jee mume maskini unamtaka?Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.
Funguka funguka kiongozi wacha kubanaaaaOmba kibali kwa Mods... fasta unaingizwa at your own risk
ALIYE TAYARI KUA KWENYE MAHUSIANO,Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.