kuna mtu kakulalamikia?Hapa ni social gathering kama ilivyo kanisani na pengine,kosa langu silioni
Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nipo dar nina elimu ya juu ninatafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27 hadi 40
Karibuni inbox kwa aliye serious
Anajihami.kuna mtu kakulalamikia?
ha ha haaahhAnajihami.
safi mkuu.umejihami in advanceHapa ni social gathering kama ilivyo kanisani na pengine,kosa langu silioni