Natafuta mchumba

Haya kila la heri, lakin hapa utaishia kupata vimeo tu, unless unataka mtu wa kudate naye tu, binafsi humu sina hamu kabisa bora usake huko mtaani kwenu. Nasubiri mrejesho
husimkatishe mwenzako tamaa mbona tupooooo
 

Nyie ambao hamjakuwa na kipato huwa mnakuwa wapole lkn baadae mambo yakikunyookea utaskia Mara ooh its not my type
 

Kwa ushauri tu , badili mawazo Tafuta kwanza kipato ndo utafute mwanamke , mwanamke amezaliwa kupata ulinzi toka kwa mwanaume (this is nature ) ulinzi wa wakati huu ni pesa au mali au uwezo wowote ule utakaompa amani .

Siyo mkeo analia matatizo na wewe unalia matatizo (hii ni against na uumbaji ) ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…