Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mvulana halafu unatafuta mchumba dogo hebu nenda kacheze kwanza huko
 
Mimi ni mvulana wa miaka 22 natafuta msichana wa kuoa awe 16-19,awe wa shinyanga, tabora au mwanza,kabila msukuma. Tuma sms kwenye . 0788876631.

Kwa umri ulioweka wa Msichana unayemtaka hauko mbali sana na sifa za " Wabakaji " maarufu.
 
nikungekusms but naona still we mtoto tafuta maisha kwanza na ukue kue kidogoooooo
 
huko unakoishi hamna hata anaekupenda? utakuja oa jini wew
 
Mimi ni mvulana wa miaka 22 natafuta msichana wa kuoa awe 16-19,awe wa shinyanga, tabora au mwanza,kabila msukuma. Tuma sms kwenye . 0788876631.
Huyu dogo atakuwa ameiba simu nyumbani ndio maana anasumbua humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom