Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mwanairinga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
179
Reaction score
12
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume nipo dar natafuta mchumba ,ninakipato cha wastani mengi zaidi tutaongea private kwa aliye tayali karibu pm
 
ukimpata twambie tujue kumbe pamoja nakuwa wanaume wa dar mnaogopa panya rodi, ila bdo mnapendwa hivyo hvyo? du ukimpata niabe rafiki yangu, ukikosa sema yupo Boke hapa, ilaukireta habai za kutinda nyusi umekwisha mura.
 
Haupo serious
Mchumba humu? Haya utampata wa humu we endelea tuu
 
Mkuu weka picha yako ili wakina dada wakuone kwanza ndiyo tusikie maoni yao
 
ukimpata twambie tujue kumbe pamoja nakuwa wanaume wa dar mnaogopa panya rodi, ila bdo mnapendwa hivyo hvyo? du ukimpata niabe rafiki yangu, ukikosa sema yupo Boke hapa, ilaukireta habai za kutinda nyusi umekwisha mura.
hahahahaha uwiiii!!!!! na zile kari na piko juu huhuhuh hatareee,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom