El.pisterio
Member
- Jun 23, 2014
- 21
- 10
uwiiiiiiii nasikitika cjaiona hii mapema nataka mwanaume ambaye hanywi pombe wala havutti sigara. cjui nimechelewa
Dhaa! Vigezo na mashart kuzingatiwa, umri umeniangusha..Sifa za ninayemtafuta umri 20-25, atleast post secondary education, umbo lolote ila asiwe mnene sana (bonge), sura ya kuvutia kiasi, tabia njema, asiye na mtoto na awe tayari kuchek afya, awe mkristu ila muislam aliye tayar kubadili dini karibu.
Sifa zangu 28yrz old, graduate, govt employee, tall n black man, mpole, sinywi pombe wala sivuti sigara.
Aliye tayari ni PM
Dhaa! Vigezo na mashart kuzingatiwa, umri umeniangusha..
Kila la heri mkuu
uwiiiiiiii nasikitika cjaiona hii mapema nataka mwanaume ambaye hanywi pombe wala havutti sigara. cjui nimechelewa
uwiiiiiiii nasikitika cjaiona hii mapema nataka mwanaume ambaye hanywi pombe wala havutti sigara. cjui nimechelewa
Mwanaume ambaye hanywi pombe wala au havuti sigara ndo wa kuogopa kama ukoma. Trust me you.
Mwanaume ambaye hanywi pombe wala au havuti sigara ndo wa kuogopa kama ukoma. Trust me you.
acha basi kutukatisha tamaa kwa nini ni wa kuogopa?
Sifa zote nnazo mchumba, ila nina mtoto shaka ondoa nitampeleka kwa baba ake....
Mwanangu usisahau kutupa mrejesho!!
Asprin una matatizo wewe. Kwa nini aogopwe hebu toa maelezo ya kina na evidences
Hapo tu unaniacha hoi we mzee, miaka 72 ila unasimamia kucha kuzidi hata vijana...Sina matatizo, ni ushauri tu. Na miaka yangu 72 nliyoishi hapa duniani nimeshuhudia mengi. Kazi ni kwako....:llama:
Hapo tu unaniacha hoi we mzee, miaka 72 ila unasimamia kucha kuzidi hata vijana...