Mcha Mungu kama flora Mbasha 🙁🙁
Samahani mbona hujaweka bank statement yako.
Na miamla ya tigo pesa, m-pesa na Aitel money.
Awe mcha Mungu na mwenye tabia njema. Aliye siriazi anicheki PM.
Anatafuta mchumba sio muuza K.
umetoa jibu zuri sana kwa Apologise lady