Natafuta mchumba wa kuoa

Jawai

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
530
405
Habari za leo wana JF.
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, mpole na mwenye hofu ya mungu, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiliwa. Natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 19 - 23, elimu ya form 4 au 6, hawe tayari kusimamia biashara siku za baadae kama si muajiriwa, muislamu na sipendi anayevaa suruari. Kwa yeyote aliye tayari au mwenye ndugu yake anayekithi vigezo naomba ani PM kwa maelezo zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom