Natafuta mchumba wa kuoa (msichana)

Natafuta mchumba wa kuoa (msichana)

Ahahaa Unaeleweka sana.
Pia nimeshajua unamiliki kiasi gani
Big up
Hahaha kwa ng'ombe kukonda kufikia paka haiwezekani kweli
Lakini binadamu anaweza kupungua/kuongezeka kadri anavyohitaji kuwa

Suala la kumiliki/kutomiliki wowowo kabisa ni maamuzi tu
 
Joanah nifanye nn nipate kumiliki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom