natafuta mchumba wa kike aliye muislam anaeishi zanzzibar umri kuanzia miaka 20-45 alieko serious na hili naomba sana uwe serious katika hili ili tuweze kuondosha ubabaifu katika jamvi kwa maelezo zaid napatikana kwa namba 0773584154 ahsanten nawasilisha
Bahati yako itakuwa mbaya maana utajikuta huyo unayemtaka si chaguo la Mungu,ukianza kubagua dini basi ujue naye Mungu atakupa mwingine ili uweze kujifunza kumjua yeye kwa maana ni yeye pekee ndiye anayeweza kukupa mke bora.