Kwa nini sehemu likitajwa neno uislamu basi makafiri lazima waje kukashifu dini yetu natumai ndugu maamar angesema anatafuta mchumba wa kikristo au mchumba tu usingesikia kashfa zote hizi zilizotolewa na hawa makafiri wachache tuweni na UVUMILIVU WA KIDINI kuuchukia na kuupiga vita uislamu si suluhisho kwani uislamu ndio unazidi kushamiri duniani