Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

mlengamillo

Member
Joined
Nov 19, 2007
Posts
9
Reaction score
0
Mimi ni mvulana
Nna miaka 31, mkristo(RC),
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna watoto wawili

Sifa:
Awe na umri kati ya 25-28
Awe mkristo
Awe ameajiriwa/amejiajiri
Mwenye hofu ya Mungu
Kama ana mtoto asizidi mmoja
Hardworker
Elimu kuanzia form six na kuendelea
Asiwe mfupi sana

Tuwasiliane kwa pm
 
Mbona tangazo linafanana na la mdada hivi hebu litafute
 
Kanisani kwenu, mtaani, kijijini, umekosa pote huko hadi unakimbilia JF?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom