Natafuta Mchumba wa kike

Natafuta Mchumba wa kike

mkuu mwenyewe

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
22
Reaction score
1
habarini wakuu, hasa wanawake hii inawahusu.Natafuta serious mchumba.kigezo cha kwanza awe mcha God (mtu wa maombi na sala asubuhi mchana na jioni, kufunga na awe mtu wa ibada), age kuanzia 25 hadi 35,elimu kuanzia first degree awe na kazi au biashara, haijalishi ana mtoto au la. Ikimpendeza God mwaka huu Tuoane
sifa zangu age nina 30, mkristo mzuri kadri God alivyonibariki, Elimu masters, mrefu,niko dar.
Asante.
 
unaonaje mwitikio mpaka sasa. fifty members had visited here before I.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom