Kutokana na kukosa muda wa kujichanganya na watu inaniwia vigumu kumpata mwenza wangu. Hivyo nimeamua kumtafutia jamvini.
Sifa zangu:
Nina umri wa miaka 39, sivuti sigara wala sinywi pombe ni muislamu, Elimu yangu ni chuo na ninafanya kazi. Nina watoto wawili wadogo ninaowapenda sana. Mshahara wangu utaujua nikishakuoa. urefu wangu ni kati ya 172 -175 cm.
Sifa zake:
Awe na umri kati ya miaka 24 hadi 35. Dini yoyote ila awe tayari kuslimu na kuwa muislamu. Hasivute sigara wala kunywa pombe. Hasiwe chini 160 cm, Sio lazima awe na kazi ila awe amemaliza kidato cha nne, sita au chuo na apende kujiendeleza kielimu niko tayari kumlipia gharama zote. Awe tayari kuishi mbali na Tanzania ikibidi kutokanaa na kazi yangu.
Tahadhari: Ndoa itafungwa iwapo tu nitakujua vizuri pamoja na familia yako. Hivyo naomba majibu yenu PM hata nyinyi ma kaka mnaweza kuwaambia dada zenu watupie jicho huku.
Ndoa ni ibada usione haya kujibu