Natafuta mchumba wa kike for marriage

Natafuta mchumba wa kike for marriage

Mmmhhh!! Mimba ni mtoto sema tu bado yupo tumboni. So hauqualify
 
mbona wengi sana humu wametangaza nia...jirengezshe mkuu au hutaki kuwa specific
 
ladies wako humu lakin nimegundua most of them hawako serious
 
We msomi wa chuo kikuu gani hata huwezi kuandika CV? Au street university by Shigongo?
Wewe umeweka viegezo unavyotaka bila kusema kama wewe ni
ni kamili au una upungufu wb kimwili yaany physical impairment or disability.
Una watoto wangapi wewe na mademu walemavu na waliotoa mimba unawataka?
Be consistence.
 
Dada u better keep quiet if u dont hv something to write. So hicho ulichoandika ww ndo cha kisomi? Think and act as an intellectual. Ndo matatizo yenu nyie vibinti viteenagers. By da way e mail yangu hiyo hapo ntafute ujue kama nina mapungufu au la. Na hayo mengine dada Felix Aweda
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom