Kutoka wapi?Nasubiria majibu ya afya ya mwili na ya afya ya akili....yakiwa mazuri najongea seriously!
Kutoka kwa DakitariKutoka wap?
Kiume dah nimesahau kwakweli.Wewe Ni wakike au hujaweka jinsia yako ujue
Unawafukuza tena, utakua hupati mbebe...Nafikiri utakuwa umekurupuka kukomenti
Soma vizuri title yangu dada.
Swali alilouliza c uliona kakaUnawafukuza tena, utakua hupati mbebe...
Mbona kama tangazo la kazi?Vigezo;
Awe Mkristo awe dhehebu lolote.
Awe ana miaka isiyozidi 25
Awe mweupe, mrefu kiasi na elimu yake isipungue frm4
Pia awe mcha Mungu na awe anahudhuria kanisani.
*******
Mimi ni msabato na ni nina miaka 28
Pia ni mwajiriwa na nimejiajiri
"Mungu awabariki nyote"
No_0626408314.
Pia hata kama ni mwislamu ila unasifa hizo na hata kama utakuwa una shombe ya kiarabu ila utakuwa upo tayari kubadilisha dini kunifuata nipo radhi kwahali yoyote.
"Amina"
Zab 23:1
πππNasubiria majibu ya afya ya mwili na ya afya ya akili....yakiwa mazuri najongea seriously!