Mayala Mikopo
New Member
- Mar 5, 2014
- 2
- 0
Kwa dada yoyote atakuwa na sifa tajwa hapo chini na awe tayari kwa moyo wa dhati kuwa mpenzi,
mchumba na badae kuwa mke, basi PM.
SIFA ZAKE
1) Awe na umri wa 18-23 yrs
2) Awe anatoka\anaishi kati ya mikoa ifuatayo: GEITA, SINGIDA, MWANZA, SHINYANGA, TABORA na SIMIYU.
3) Awe mkiristo\muislamu ila akubali kubadili dini
4) Awe na elimu walau kuanzia kidato cha nne hadi elimu ya chuo.
5) Rangi, mweupe au maji ya kunde.
6) Kimo, awe mrefu.
7) Asiwe na record ya kuachwa\kuacha wanaume zaidi ya 2(sitazingatia bikra).
SIFA ZANGU
1) Umri 25 yrs
2) Elimu ya chuo kikuu
3) Mrefu, mkiristo na mweusi
4) Natoka kanda ya ziwa.
TAFADHALI, mwenye sifa anitafute kwa no. tajwa hapo juu (tuma sms).