Natafuta mchumba mwenye vvu

Natafuta mchumba mwenye vvu

celine 2

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Habari zenu jamani,
mm ni mwanamke ninaeishi na vvu najitokeza kutafuta mchumba ambae pia anaishi na vvu miaka yangu ni 32,mkristo,nimeajiriwa na nimeikubali hali yangu,huyo atakeijitokeza awe na miaka zaidi ya 30,mkristo,amejiajiri au ameajiriwa.aliye tayari ani pm.
naomba msininyanyapae jamani,kama huna cha kuchangia pita tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom