Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.
WASIFU WANGU
UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri.
NAYEMTAFUTA
UMRI:Kuanzia miaka 34 na kuendelea, awe Mkristo, Elimu kuanzia Advanced diploma na kuendelea. Awe ameajiriwa au amejiajiri shuguli halali na pia awe anaishi DAR.
Ni PM kama tu upo serious.

Mi namfahamu rafiki yangu moja aliishia darasa la nne ila sasa hivi ana biashara halali anachezea hadi milioni 500 na ana tabia nzuri, anamuheshimu Mungu, mtu simple sana.. sasa we naona unawapenda sana wa advanced diploma kwenda juu ila elimu doesn't necessarily secure good life...
Ivi good life ni pesa pekee....la...
How about reasoning?