Sasa wewe Fidel, siumepewa email address yake? Mbona na wewe unampa email address nyingine? Si uwasiliane naye moja kwa moja? Amesema yupo serious! Acha masiahara!
wifii huyo wifiii wifii huyoo wifiii....walisema haoi mbona anaoa walisema haoi mbona anaoa
TISS wanaendelea ku-update taarifa zao..😀
kweli mkuu, siku hizi inaonekana watu wamegeuza JF mahali pa ufanyia research za kipuuzi.
ni hivi punde tu nimesoma post yake hapa akichangia thread moja na anasema anafunga ndoa mwezi february! yaani mwezi huu!
sasa nini tena kimeusibu uchumba wake wa awali?
mpeni pole fidel 08, inaonekana anasarandia ile mbaa!
someni hapa chini ile post yake nimewawekea
"""""My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010""""
mpeni pole fidel 08, inaonekana anasarandia ile mbaa!"""

Lol kumbe anafunga ndoa Feb.?
Hii imekula kwangu sasa

Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.
Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene
Dini-Christian
pombe-naonja
kabila-chaga
Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo mengine tutafahamishana kama kutakuwa na maswali zaidi,
wasifu ninaopendelea.
Jinsia-Mwanaume
jisia-30-45
Elimu-lazma awe ni graduate na kuendelea,
Dini-mkistu
Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.
Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
naomba kuwasilisha.
"""""My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010""""
Dada angu hapo vigezo vyote mm ninavyo.
Hivyo basi naomba tuwasiliane PM au nitumie email fidel80@jamiiforums.com
Hahahahaha wenye wivu wajinyonge mm hapa BATA tu angekuwepo DJ Masa angeniwekea wimbo wa Pole Samaki polee
....mzee wa kudumisha mila.....huyu wewe humuwezi kabisa.....ni ''baunsa'' fulani hivi.....! hayuko ready kutetea relationship yake.....angalia hapa:
Nkashilingi
Nkashilingi has no status.
Junior Member
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
Re: Girls Do You Agree!?
LOL!!! labda sio mimi, huo ni utumwa, i disagree ya yote, wacha ndoa ivunjike.
Dah, i dont know what to think? kwa jinsi alivyokuwa anasisitiza seriousness kumbe hayuko serious? kweli sasa nimeamini Fidel una gundu!
Binamu swali la kizushi wewe thi unapenda ingilishi figure ?
jamani kwani watu hawaachani, ndo hivyo mungu akupenda kwa hiyo no more ndoa, ila penye nia pana njia.