Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???
Ukiwakuta mtaani wanaringa na nyodo kibao, lakini ukiwapa lift njiani wala hawasemi ninadegree siwezi kuendeshwa na wa la saba..!!!
nawahurumia sana hawa dada zetu, wacha waendelee kumaliza Bundle...