Natafuta Mchumba/Mume

hivi kitufe cha PM kwenye simu siku hizi hakifanyi kazi? Maana nimejaribu mpaka nimechoka. Hizi simu za kichina zinaweza kunikosesha bahati hivi hivi.

Huna bahati wewe......kuna mtu kakuzibia......:laugh::laugh:
 
Dada tunaomba ungetoa wasifu wako wa ndani ili upate mwenza mnaeweza endana vema.
 
Dada weka basi na wewe sifa zako tujue mf. miaka/umri wako, dini, elimu kama hutajali lakini sawa bibie???
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

Hujajitokeza mbele yetu uko kwenye key board yako, bandika picha yako hapa ili wakuone, pia toa maelezo yanayojitosheleza, kama vile ww ni mjane au umeachika, au hujawahi kupendwa. Umri wa 35 na kuendelea ni umri wa makunyanzi usoni wewe ndio unatafuta mwenza duuuu
 

Acha kumkatisha tamaa
Kila mtu ana ratiba yake ya maisha.
 
Mmmmh! Nina wasiwasi sana na hizi ID mpya ambazo hazijapita hata mapokezi zinakuja moja kwa moja ktk MAHUSIANO na MAPENZI
Nahisi kuna mtu hapa anachezea IQ za wanaume wa JF si bure . . .lol
 
Mmmmh! Nina wasiwasi sana na hizi ID mpya ambazo hazijapita hata mapokezi zinakuja moja kwa moja ktk MAHUSIANO na MAPENZI
Nahisi kuna mtu hapa anachezea IQ za wanaume wa JF si bure . . .lol

huo wasiwasi utafanya mfe mkiwa bado mabachela.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…