Mimi nina miaka 33 natafuta mchumba/mke mwenye sifazifuatazo.
1. Aliye na hofu ya Mungu.
2. Dini awe Mkristo (born again christian)
3. Awe mtumishi wa umma/mfanyabiashara.
4. Asiye na mtoto.
5. Umri miaka 27-30.
6. Mwenye kupenda maendeleo.
7. Mwenye kujituma na kujishughulisha.
Mwenye sifa hizo hapo naomba anicheki PM.