wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Ndugu wa na JF habari ya chrismass !!
Nimatumaini yangu mko Salama salimini na bila Shaka mmesali na mko safi majumbani kwenu
Kama ilivyoelezwa nahitaji kuanza MWAKA 2019 kwa tofauti sana
Mm nina umri wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa Kama ataridhika na mm na mm kuridhika na yy
Sifa
Umri Kati ya miaka 24-28
Mkristo roman katholic
Msafi
Mwenye umbo zuri
Mrefu muhimu
Asiwe mchawi mhimu
Asiwe Muongo muhimu
Asiwe Mwizi muhimu
Alie makini anitumie namba YAKE kwa PM nimtafute tufahamiane
NB TANGAZO HILI NI LA PILI BAADA YA TANGAZO LA KWANZA KUPATIKANA MTU MMOJA AMBAE PIA HAJATOA NAMBA ZAKE ZA SIMU HATAKAMA UMRI WAKE ULIZIDI VIGEZO VYANGU
KARIBUNI