xxxxlevel
Member
- Sep 20, 2015
- 49
- 22
Mimi ni............................., miaka 29, mrefu kiasi ft 6 kasoro, mwembamba, kwa sasa nipo nasoma chuo (1 yr), Natafuta msichana
- mzuri
- aliye tayari kuanza maisha from zero to hero
- mrefu kiasi
- mcheshi
- asiwe mnene sana
- miaka 18 - 21
- rangi brown
- mwenye elimu kuanzia advanced diploma to above
- aliyestaharabika, na kufundwa vizuri kabisa jinsi ya kuishi na mmewe.