SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 175
wapendwa,
Mimi natafuta mke....kwa sababu nimechoka na maisha ya u-single.
Sifa za mke ni mpendaye ....awe:
1. Daktari au Nesi......iwe tayari ameajiriwa na sio mwanafunzi, au awe
2. Mwalimu...katika ngazi yeyote ile hata akiwa mwalimu wa chuo kukuu..poa tu.
3. Umri kuanzia miaka 25 hadi 35.
4. Sichagui dini, wala kabila...coz hivyo vyote sio vikwazo kwa watu wenye nia ya kuishi pamoja.
NB: Atakayekuwa tayari au kuwa interested naomba ani-PM tafadhali.