Natafuta mchumba mimi ni mume

Natafuta mchumba mimi ni mume

abm8

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Uwe majiyakunde/mweupe, kabila lolote,mkristo, umri 18-23, mkoa wowote ule,mwenye umbo lakupendeza, mimi niko Dar es salaam Kinondoni,ni mweusi 168.60 cm tall.

Ni pm nitakupatia mawasiliano yangu.
 
Mimi natafuta nyumba ndogo. Uwe unajua kupiga ugali wa muhogo na usiwe mvivu wa kutwanga nafaka kwenye kinu. Serious bizness...
 
uwe majiyakunde/mweupe, kabila lolote,mkristo, umri 18-23, mkoa wowote ule,mweny umbo lakupendeza, mimi nko dar kinondoni , mweusi, 168.60 cm tall, ni pm nitakupatia mawasiliano yangu

umbo la kupendeza? si bora umtafuta mwenyewe kwa macho yako, watakuja na virusi watakuletea serious nakwambia, tafuta ke bora na si bora mke.
 
umbo la kupendeza? si bora umtafuta mwenyewe kwa macho yako, watakuja na virusi watakuletea serious nakwambia, tafuta ke bora na si bora mke.

hapo namshauri akimpata wakapime vrus
 
Ww ni mwanaume au ni mume? Kama ni mume then unatafuta mchimba wa nn?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom