Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 366
- 323
Anataka kupiga shoo tu, hataki stress za kulea watoto.Mh.. Raha ya ndoa ni watoto,, kwann unataka mgumba? Au ww pia huna uwezo wa kuzalisha mkuu?
Dah!
Kweli duniani kuna mambo.
Kijana una miaka 26, unaishi kwa wazazi wako, hujaoa lakini unataka kuoa mwanamke mwenye miaka 30, Mgumba!!
Hongera, kila la Kheri.
Dah!
Kweli duniani kuna mambo.
Kijana una miaka 26, unaishi kwa wazazi wako, hujaoa lakini unataka kuoa mwanamke mwenye miaka 30, Mgumba!!
Hongera, kila la Kheri.
mwanamke chini ya thelathini boss,kuhusu kuishi kwa wazazi ni mambo ya kawaida sababu sina haja ya kupanga wakati nyumba iko na kuhusu mgumba hayo ni mambo personal atakekua tayari atajua kwanini unataka mgumba.Dah!
Kweli duniani kuna mambo.
Kijana una miaka 26, unaishi kwa wazazi wako, hujaoa lakini unataka kuoa mwanamke mwenye miaka 30, Mgumba!!
Hongera, kila la Kheri.
Boss usije ukawa unamtaka kwa ajili ya kumfanyia zindiko ahaaaaaaaamwanamke chini ya thelathini boss,kuhusu kuishi kwa wazazi ni mambo ya kawaida sababu sina haja ya kupanga wakati nyumba iko na kuhusu mgumba hayo ni mambo personal atakekua tayari atajua kwanini unataka mgumba.
Uwezo wa kuhamia kwangu upo,tatizo sina sababu ya kuhama wakati sehemu iko na shughuli zangu nazifanyia karibu na home..Fanya mpango uhamie kwako kwanza mkuu.
Nikipata sababu ya kuhama nahama,nikioa ntahama.Tatizo unaishi kwenu
KaribuMweeh!!