Natafuta mchumba, mdada uliyeserious kiukweli

Natafuta mchumba, mdada uliyeserious kiukweli

stevavevi

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Natafuta mchumba ambaye Mungu akijalia tuishi pamoja hapo baadae.

Sifa zake...

1. Dini - mkristo

2. Kabila - lolote

2. Umbile - Hasiwe mfupi sana wala mnene sana.

3. Umri - hasizidi 27

4. Elimu - Kuanzia kidato cha 6

5. Rangi - Mweupe au maji ya kunde

6. Tabia - Awe mpole,mkarimu,asiwe na tamaa,mpenda maendeleo na
anayeenda na wakati.

7. Afya - asiwe na magonjwa hatarishi, haswa ya kurithi.( tutaenda
kufanya check up, hapa asitegemee kuleta longolongo )

8. Awe mkweri,muwazi,mwelewa na anayejielewa(asiwe conservative sana)


Sifa zangu

Dini - mkristo

Elimu - Masters degree

Umri - 29

Kazi - Sina kazi ya kudumu kwa sasa sababu nimeunganisha shule mfululizo.

Umbile - mrefu

Rangi - mweusi

Tabia - mtulivu,mvumilivu,mwelewa, mchakarikaji.

Kwa mawasiliano unaweza kuni inbox hapa,

au unaweza kunicheck kupitia email yangu : mathiassteve1@gmail.com


Walio serious tu,ndio wanaokaribishwa.

Asanteni......!!
 
Hadi umefika masters humo njiani katika safari yako hukuona hata mmoja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom