we domozege nini wachumba walivyojaa huko nje unatafuta humu, kunavimeo mwanawane
mimi sifa zote ninazo hila hijabu ndo siwezi- kujisitiri siwezi mimi mapigo yangu ni kama unavoniona hapo kwa avatar ninakufaa?
ndo namwambia ukweli aamue mwenyewewewe mgomvi yaani..............lol mwenzio anataka wanaojua kujistiri wewe unakuja na staili hiyo hauzubillah...........
mimi sifa zote ninazo hila hijabu ndo siwezi- kujisitiri siwezi mimi mapigo yangu ni kama unavoniona hapo kwa avatar ninakufaa?
Vigezo vyote ninavyo ila nawewe weka sifa zako tulinganishe
Muonekano wangu hautofautiani sana sifa nilizozitoa kwa nimtafutae. Umbo langu ni mrefu kiasi, mnene kiasi na kwa rangi yangu ya kiasili ni mweupe na nimzaliwa wa mkoa wa Tanga.