Natafuta mchumba ili baadaye awe mke

Natafuta mchumba ili baadaye awe mke

Cipher op

Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
76
Reaction score
99
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Mimi ni kijana nina 26 yrs nafanya kazi wizara ya ulinzi, nipo Dar es salaam area naitaji mwanamke wa kuoa umri asizidi 26yrs Dini si kigezo.

Aliye tayari anipm thax.
 
Wew ckuiz wanawake wa umri wa miaka26 ni kama bibi yako labda utafute wa miaka kwanzia 18-23 kwanz inatakiwa umzidi kama miaka 4
 
wanawake kibao maeneo yanayokuzunguka.. kama mkristo cheza sana makanisan, jumuiya etc..

Au nenda kapange uishi maeneo ya vyuoni as mabibo, survey, kurasini etc.. hapo unakuwa na access ya kukutana nao kila siku wasichana wa age yako ya kumuandaa kuwa wife..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom