Habari wanajamvi, natumai ni Wazima Mimi ni kijana nimeamua kujitokeza kutafuta mchumba ili badae aje kuwa mke, mwenye upendo wa dhati
Sifa zangu
-dini yangu muislam
-umri Miaka 30
- Kazi nimejiajiri
- elim yangu degree
Mwanamke (mchumba) ninaemuhitaji awe na sifa hizi
- awe muislam ameshika dini na mwenyewe hofu ya mungu
- umri miaka 23 hadi 29
- elim form four hata akiwa na degree sio mbaya
- asiwe mnene sana
Nipo serious, aliye tayar aje pm tufahamiane vizur, naomba masihara tuweke pembeni
Nawatakia siku njema
Ahsante